World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bwa'Nchuchu na @Mounriho nawaheshimu wakuu mnakoelekea siko kabisa naomba muishie hapa ili tuendelee kufurahia hii World Cup Final ambayo inaanza hivi karibuni.

Haina noma mazee. Ila huyo ---- juzi kanianza na sikuona mkimsihi aache ussenge wake....

Anyway haina shobo...VamosArgentina!
 
Kaka, siku ile wakati kanianza na matusi yake mbona hukumuonya? Au matusi ni matusi yakitoka kwangu tu?

Mkuu Scrow back uone jinsi ambavyo tulikemea matusi toka siku ya kwanza,lkn issue hii iliisha leo imeanza tena from no where!
Tuone soka mkuu tuache haya mambo hayatusaidii!Umemuona Puyol hapo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…