Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
upo afadhali.....
ilikua offside
Goli halali kabisa tumenyimwa
unashangilia goli la offside ?
Ah wapi...sikubali. Goli halali kabisa lile bana
coach wa German kapanik hapa...
Asante sana... Ushindi ni wetu huu team Argentina kama kawaida.
Kuna mtu yupo humu kashangilia offside!Hahaha
kiroho kinaniuma mess akishika mpira