World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani kama refa wa kujitolea tunaomba amani siku ya leo isitufanye tuwe maadui,sisi ni marafiki toka enzi,big up Mourinho Bwa'Nchuchu kuwa mpole kaka yangu yote heri hata tukifungwa mpaka hapa tulipo tuko juu. AMANI AMANI WADAU!!
 
Last edited by a moderator:
Shula ni dogo mbaya ambaye yupo very underrated katika Chelsea.
 
Mungu atasimama na wanaodharauliwa...German wamefanywa miungu watu. Lazima Argentina wainuliwe leo
 
Back
Top Bottom