World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Klose ni Abeid Mziba wa Germany. Magoli yake mengi katika World Cup yametokana kwa vichwa kama vile Mziba alivyokuwa anasifika enzi za Mwalimu
 
na hawa wa algertina wanakaba sana .. si wangelegeaza hata kidogo wagerumani wafunge
 
Update: 2 minutes of stoppage time before the break. Germany 0-0 Argentina (After 45min)
 
Kazi na Dawa:
BscslDxCcAEfNE1.jpg:large
 
Back
Top Bottom