maradona hivi leo anacheza?
hata sielewiiiiiiiiii
hahahahaha,BP inapanda nini?
hata sielewiiiiiiiiii
At least leo kuna burudani nzuri
heeh,heeh Mungu yupo argentina
haah,haa,huu ni mpira sio reli ya kati
I have to discuss with him ....
Tulia hapa Germany tukuoneshe.
Watu wanakabana mno
Argentina wakikubali kutangulizwa wanapotea..
Hii link ya live streaming ninayoitumia ipo slow mbaya hakuna mwenye link Wajameni
Leo naona ngoma inakwenda penalt na Argentina Leo washindi