jamani wana MMU,Chit Chat hili ni Jukwaa na mpira
aiseee Germany wanapigwa sasa hivi
Fanya ile mambo basi!!!!!!!
Kun aguero...
Leo mjeruman anakufa tai shingoni.nn
Kamfokeaje?
Kauli ya kukata tamaa
Hii gemu haina zaidi ya goli mojaAfadhali umekubali! Tunawafunga 3 tu kwa bila!
Mnhhh....
Jerumani hatoki leo lazma atachezea 2-1.
Jerumani hatoki leo lazma atachezea 2-1.
germany mpenz watalipa hela yangu,aaaaah messi tulia yessss