World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona Argentina wameamua kufungua duka wanakwenda na mastriker 3, watakuwa wameshanusa beki ya Ujerumani ipo ovyo. Na kweli beki ya Ujerumani imepwaya, labda kuifunga Brazil magoli 7 kumetufanya kudhani beki ya ujerumani ni kali Argentina wana mawazo mengine.
 
Back
Top Bottom