World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

naona ile statue mashuri ya Christ the Redeemer inaonyeshwa ktk live coverage za fainali za kombe la dunia.hofu yangu kahtaan kama anaangalia anaweza kupasua kiplasma chake kwa hasira.lol

dunia nzima ishafahamishwa kwamba Christ is the Redeemer.
 
Last edited by a moderator:
Leo lazima kombe liende Argentina, anayebisha apigwe tu. Ujerumani ilifanya dhambi kubwa sana, leo nao waonje machungu na roho zao mbaya.
 
naona ile statue mashuri ya Christ the Redeemer inaonyeshwa ktk live coverage za fainali za kombe la dunia.hofu yangu kahtaan kama anaangalia anaweza kupasua kiplasma chake kwa hasira.lol

dunia nzima ishafahamishwa kwamba Christ is the Redeemer.

Hahahaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…