World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Joachim kombe atalisikia tu,hana wapigaji wazuri wa pelnaties na kipa wao sio mzuri ki hivyo
 
Hahahahahahaaa! Kweli soka mchezo wa kihuni, uyo jamaa alivyochanganywa! Mwee!
 
Nilikuwa sijastukia.

Ebana umeona hizo jezi zina vinyota eeh?

Hivyo vinyota vinaashiria idadi ya ubingwa ambazo nchi ishashinda.

Brasil walikuwa na vitano, Argentina naona wana viwili, na wakoloni wana vitatu.
 
SIJatbPH.jpeg
 
Back
Top Bottom