Wifi yangu wewe M Ajentina?
Mpira wa leo ntashangilia badae....nasnzia kaaa
#TeamArgentina pia tunachukua ubingwa wala usihofu.
kunywa gongo unaamka
Anatoka bara la Ulaya!! Sijui FIFA hawakufikiria hili..angalau refa angetoka bara lingine isipokuwa Ulaya na Amerika ya Kusini.
gemu hitabiriki hii mashaxizo
Okay estamos en el mismo equipo.
kina nani hao