OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
​Matumbo joto 13 minutes to go.
Mkuu mambo ya vyama usiyalete huku jukwaa la Michezo.
wifi mi npo kwa ujeruman
mama yangu huu mpira wa leo balaa,ukitegemea refa utafia uwanjani
Clueless fans-mashabiki jina
Ni muitaliano huyu...
kunywa gongo unaamka
Ebana umeona hizo jezi zina vinyota eeh?
Hivyo vinyota vinaashiria idadi ya ubingwa ambazo nchi ishashinda.
Brasil walikuwa na vitano, Argentina naona wana viwili, na wakoloni wana vitatu.