World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Oh
hii tena ni marudio ya holland vs argentina semi
 
Neuer ana taulo ka Mapunda (... bahati hachezi na Yanga)
 
Ndani ya dk 15 hiz za mwisho mtu analia hapa. Yaan kabla ya matuta
 
Ule usemi kuwa hakuna nchi ya ulaya iliyowahi beba kombe kutokea nchi ya Amerika unataka kujidhihirisha tena,nasikia Brazil haijawahi beba kombe kwenye ardhi ya ulaya!hii story za vijiweni sijui ni za kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…