World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Neuer ana taulo ka Mapunda (... bahati hachezi na Yanga)
 
Shabiki anapovamia uwanja
1405284697055_lc_galleryImage_RIO_DE_JANEIRO_BRAZIL_JUL.JPG

2022 Huu upuuzi hautatokea. Labda ndo maana movement yao inataka Waarabu wasipewe u-host.
 
Ndani ya dk 15 hiz za mwisho mtu analia hapa. Yaan kabla ya matuta
 
Ule usemi kuwa hakuna nchi ya ulaya iliyowahi beba kombe kutokea nchi ya Amerika unataka kujidhihirisha tena,nasikia Brazil haijawahi beba kombe kwenye ardhi ya ulaya!hii story za vijiweni sijui ni za kweli?
 
Back
Top Bottom