Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya world cup imeisha turudi kwenye mambo ya katiba na ukawa sasa
team germany oye oye oye
Katavi itabidi uwe ukumbi wa Bet unaweka matokeo tuwekeze pesa.kweli nimeamini Katavi ni mtabiri bora kuwahi kutokea duniani
Nimbie wangu, kama tunanawaaaaa
Messi ni mchezaji mzuri lakini sio kama wanavyomsifia. My opinion namweka juu ya Ronaldinho ingawaje wana JamiiForums wengi wanadhani Ronaldinho ni bora.
Farijika baba ,poza matusi uliyotukanwa.
Hawaamini kinachotokea Leo poor brazil
Messi ni mchezaji mzuri lakini sio kama wanavyomsifia. My opinion namweka juu ya Ronaldinho ingawaje wana JamiiForums wengi wanadhani Ronaldinho ni bora.
yaaani wabrazil wamefurahi sana . hawakutaka kabisa ajentina achukue hili kombe