World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kweli nimeamini Katavi ni mtabiri bora kuwahi kutokea duniani

Huyu jamaa anatoka sehemu yenye ndumba kali kuliko sehemu yoyote duniani so lazima awe na nguvu za utabiri
 
Last edited by a moderator:
Mario Gotze's goal in the second
half of extra-time was enough to
separate the two teams and
give Joachim Low's men the
world crown
 
Asiyekubali kushindwa....
 

Attachments

  • 1405287876047.jpg
    24.5 KB · Views: 206
  • 1405287894001.jpg
    43.9 KB · Views: 186
oyoooo!!! leo birthday yangu itaenda vyema kabisa saf germany
 
Kuna watu walitoa ahadi hiz

1. Kukojoa topaz
2.kutoa mke
Vipi wamekamilsha?

Na aliye kuwa anabana kende vipi maumivu yake?
 
Messi ni mchezaji mzuri lakini sio kama wanavyomsifia. My opinion namweka juu ya Ronaldinho ingawaje wana JamiiForums wengi wanadhani Ronaldinho ni bora.

Hata juu ya Dinho hafai kuwepo...Messi levo yake ni ya C. Ronaldo...
 
yaaani wabrazil wamefurahi sana . hawakutaka kabisa ajentina achukue hili kombe

Mimi nimefurahia sana ati bora mtu wa mbali achukue maana kwao mbali hatashangilia sana.
Argentina ni sawa na mpangaji mwenzako akipiga kelele wazisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…