Bora Messi kapata walau kazawadi ka kufutia machozi
Imeniuma sana kwa kweli!Pombe zote zimenitoka
Lkn Argentina sio Brazil na hii leo imethibitika
Yaani leo nilijisahau kumpiga ribit mapema asiseme yeye ni timu gani. Kwa kweli anafaa kuwa mtabiri
Unaona FIFA walivyo wajinga!!! Eti Messi ndiye mchezaji bora wa mashindano?!?
chukua hiyo...pope Yule wa ujerumani kamshinda Pope wa Argentina sio watakuwa walikuwa wanatizama pamoja sijui Vatican?
Golden glove kwa kipa wa Germany
Na Golden ball to Messi