World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

BREAKING - @adidas GOLDEN GLOVE – Manuel Neuer wins the @adidas Golden Glove #WorldCup -

BsdLHjJCIAAhfXY.jpg
 
kipa wa Ujerumani ni Goolkeeper na anaweza kupata beki bora hapa jamaa aliokowa kwa miguu pia sana. Na zidi kumuonea huruma Messi kwenda pale sio kitu rahisi ukifungwa.
 
zimefika baba mournho, watu walitaka kutuharibia siku lakini...wapi!!!

Aliyentusi hapa akaona haitoshi akanifuata na PM akanitusi mimi na Mama yangu, nimemsamehe kwa ushindi huu mnono Mkoloni
 
Last edited by a moderator:
Fifa vipi tena, nilidhani The Golden Ball trophy linakwenda kwa mchezaji aliyefunga magoli mengi katika World cup.
 
pope Yule wa ujerumani kamshinda Pope wa Argentina sio watakuwa walikuwa wanatizama pamoja sijui Vatican?
chukua hiyo...
 

Attachments

  • altAsgA_BITneJSrs1SOiyU3-xyUadACm8jifn5ZW72bKKE.jpg
    altAsgA_BITneJSrs1SOiyU3-xyUadACm8jifn5ZW72bKKE.jpg
    41.5 KB · Views: 69
Back
Top Bottom