James rodriguez anapata golden boot.
Fifa vipi tena, nilidhani The Golden Ball trophy linakwenda kwa mchezaji aliyefunga magoli mengi katika World cup.
Amejitahidi, hukusikia watu wanasema MESSI ni shidaa
Medali pamoja na doller bill 25
Hata Brasil ile ilikuwa bahati mbaya tu.
Mambo iko 2018
walipanga wampe neema jr ila ikashindikana..
Usijali mkuu potezea tu, shangilia mkoloni kuonyesha ukoloni wake hadi kwenye soka.Aliyentusi hapa akaona haitoshi akanifuata na PM akanitusi mimi na Mama yangu, nimemsamehe kwa ushindi huu mnono Mkoloni
Mkoloni noma
kunakupanda na kushuka na kupanda tena na kushuka ndio Messi dah bora angebaki kulekule juu! Leo nimetaka Argentina ishinde ila siku zote Jinx hongera Mjerumani na waliosema wote Mjerumani ndio atashinda.
Merci golden ball,kwa ubora upi?
Usijali mkuu potezea tu, shangilia mkoloni kuonyesha ukoloni wake hadi kwenye soka.