World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

world-cup-trophy.jpg
 
kunakupanda na kushuka na kupanda tena na kushuka ndio Messi dah bora angebaki kulekule juu! Leo nimetaka Argentina ishinde ila siku zote Jinx hongera Mjerumani na waliosema wote Mjerumani ndio atashinda.
 
Aliyentusi hapa akaona haitoshi akanifuata na PM akanitusi mimi na Mama yangu, nimemsamehe kwa ushindi huu mnono Mkoloni
Usijali mkuu potezea tu, shangilia mkoloni kuonyesha ukoloni wake hadi kwenye soka.
 
kunakupanda na kushuka na kupanda tena na kushuka ndio Messi dah bora angebaki kulekule juu! Leo nimetaka Argentina ishinde ila siku zote Jinx hongera Mjerumani na waliosema wote Mjerumani ndio atashinda.

hehehehe dats mkoloni usiguse
 
Back
Top Bottom