World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Blatter anaharibu mpira wa miguu sana kwa mahaba yake kwa Messi..eti Messi ndiye mchezaji bora wa mashindano, kweli?!?

Nyie Blatter ndo mnaona anaharibu leo?

Na anagombea tena urais hivyo..
 
ama kweli mungu si kahtaan,yaani pamoja na ujerumani chini ya hitler kuuwa maelfu ya waisrael,leo hii ni fifa world cup champions?!.mweee!.
 
Last edited by a moderator:
Muller has more goals...More Assists..won the World cup. Golden BALL given to Messi
 
Pazi hongera sana naona timu yako imeshinda
Ishinde wapi mkuu tehtehteh timu yangu unaijuwa I napenda holiday na wachezaji wake wanatakiwa kwenye timu zao Training sasa hivi sitoshangaa wakitaka holiday waongezewe sawa na wachezaji waliocheza Final Leo.
 
Jeremy boateng angekuwa mzungu angevunja rekodi ya kununuliwa na timu ingine
 
Labda ni Lazima timu ya mchezaji bora ifike fainali...


Sina hakika ila mtangazaji kasema kuwa Messi kawashinda wenzake 9 ambao walipendekezwa naye kati ya wachezaji 10.

Nahisi kama kuna aina fulani ya kumbeba Messi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…