The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Leo kawaokoa sana wajerumani,aliokoa goal la wazi kabisa.
Ndie best defender but wazungu watawasifia Wazungu wenzao tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kawaokoa sana wajerumani,aliokoa goal la wazi kabisa.
Golden boot ndiyo uenda kwa top scorer..golden ball kwa best player.
Kweli mkuu na sasa hivi ngumu jamaa kumtoa pale kuna Wazee wanateteana mazambi Yao ndani ya FIFA! Wao na watu wa Uefa nao wakuogopwa Platini asiguse FIFA yeye alipiga Kelele timu za EPL ku spend pesa nyingi kwa wachezaji sasa hivi Monaco na PSG wanapesa simsikii tena Kelele zake.Sijawahi kumwona Blatter kama anafaa kuwa rais wa FIFA...yeye na Adidas wanatumia umafia kuendesha soka duniani kwa mahaba na matakwa yao...ndiyo maana kila anapotokea mtu anayeweza kuwa tishio kwa urais wa Blatter, lazima akumbane na mizengwe mingi...
Hii ndio #TeamGermanMjerumani kaweka heshima kubwa kamtandika Brazil na Argentina barani kwao! Sio kitu rahisi lazima Hongera tuwape hata Kama wengine hatukutaka ashinde ila Mjerumani kaonyesha Extra Time anaziweza,Fujo anaweza, counter attack anaweza, kukaba anaweza na hawakupendelewa na Refa.
Asanteni wadau wote humu kwa kampani nzuri sana,mmekuwa marafiki kwangu sina neno,mara nyingi mpira huu nilikuwa nacheki mwenyewe lakini kupitia ninyi nilikuwa najiona kama niko na watu maelfu wamenizunguka, Asanteni sana,tusameheane sana pale tulipokwazana,nawapenda wote,muwe na usiku mwema. Germany oyeeeeeeeeeeee!!!!
Then again. Messi kafanya nini ktk World Cup hii kupewa the Golden Ball? Kuna wachezaji waliwika katika haya mashindano kuliko Messi. Fifa sometimes wana lose credibility.
huyu jamaa wa chini anaamininushirikina ndio ushindi wa germany sijui aliongozaje simbaall the best ma team
better is not good enough best is yet to come
Asanteni wadau wote humu kwa kampani nzuri sana,mmekuwa marafiki kwangu sina neno,mara nyingi mpira huu nilikuwa nacheki mwenyewe lakini kupitia ninyi nilikuwa najiona kama niko na watu maelfu wamenizunguka, Asanteni sana,tusameheane sana pale tulipokwazana,nawapenda wote,muwe na usiku mwema. Germany oyeeeeeeeeeeee!!!!
majina ndio yanatizamwa hasa kimatangazo Adidas wamefurahi kwa mengi na FIFA!. Pengine hata mchezaji Ghana au Algeria alitakiwa kupata ila anatizamwa Star Mfano FIFA wameshindwa kuumiza kichwa Young Player kapewa Pogba japo nampenda dogo na namuona mkali ila Pogba hakutakiwa kupewa Award kuna Players Colombia walikuwa wapate.Then again. Messi kafanya nini ktk World Cup hii kupewa the Golden Ball? Kuna wachezaji waliwika katika haya mashindano kuliko Messi. Fifa sometimes wana lose credibility.
All the best Germany