World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Asanteni wadau wote humu kwa kampani nzuri sana,mmekuwa marafiki kwangu sina neno,mara nyingi mpira huu nilikuwa nacheki mwenyewe lakini kupitia ninyi nilikuwa najiona kama niko na watu maelfu wamenizunguka, Asanteni sana,tusameheane sana pale tulipokwazana,nawapenda wote,muwe na usiku mwema. Germany oyeeeeeeeeeeee!!!!
 
Team inayoloose fainali naumiaga sana nikiiangalia

Kama leo argentina
 
Sijawahi kumwona Blatter kama anafaa kuwa rais wa FIFA...yeye na Adidas wanatumia umafia kuendesha soka duniani kwa mahaba na matakwa yao...ndiyo maana kila anapotokea mtu anayeweza kuwa tishio kwa urais wa Blatter, lazima akumbane na mizengwe mingi...
Kweli mkuu na sasa hivi ngumu jamaa kumtoa pale kuna Wazee wanateteana mazambi Yao ndani ya FIFA! Wao na watu wa Uefa nao wakuogopwa Platini asiguse FIFA yeye alipiga Kelele timu za EPL ku spend pesa nyingi kwa wachezaji sasa hivi Monaco na PSG wanapesa simsikii tena Kelele zake.
 
Asanteni wadau wote humu kwa kampani nzuri sana,mmekuwa marafiki kwangu sina neno,mara nyingi mpira huu nilikuwa nacheki mwenyewe lakini kupitia ninyi nilikuwa najiona kama niko na watu maelfu wamenizunguka, Asanteni sana,tusameheane sana pale tulipokwazana,nawapenda wote,muwe na usiku mwema. Germany oyeeeeeeeeeeee!!!!

Karibu sana everlenk
 
Then again. Messi kafanya nini ktk World Cup hii kupewa the Golden Ball? Kuna wachezaji waliwika katika haya mashindano kuliko Messi. Fifa sometimes wana lose credibility.

wanaua soo tu, hawajawah kuwa fair
 
BsdM3RKCUAABBIr.jpg
 
Haya bhana Wajerumani mmepata nyie!

Wacha nilale!

Nawatakia usiku mwema nyoooote! Pamoja sana!
 
all the best ma team

better is not good enough best is yet to come
huyu jamaa wa chini anaamininushirikina ndio ushindi wa germany sijui aliongozaje simba
 
Attachments

  • 1405289988573.jpg
    1405289988573.jpg
    101.2 KB · Views: 74
  • 1405290028461.jpg
    1405290028461.jpg
    111.2 KB · Views: 71
  • 1405290054987.jpg
    1405290054987.jpg
    77.6 KB · Views: 66
Asanteni wadau wote humu kwa kampani nzuri sana,mmekuwa marafiki kwangu sina neno,mara nyingi mpira huu nilikuwa nacheki mwenyewe lakini kupitia ninyi nilikuwa najiona kama niko na watu maelfu wamenizunguka, Asanteni sana,tusameheane sana pale tulipokwazana,nawapenda wote,muwe na usiku mwema. Germany oyeeeeeeeeeeee!!!!

Karibu sana...msalimie abhisheck Bachan lol...nakudai kitu...
 
Golden Boot: James Rodriguez Golden Ball: Lionel Messi Golden Glove: Manuel Neuer Young Player: Paul Pogba World Cup Champions: Germany!
 
Then again. Messi kafanya nini ktk World Cup hii kupewa the Golden Ball? Kuna wachezaji waliwika katika haya mashindano kuliko Messi. Fifa sometimes wana lose credibility.
majina ndio yanatizamwa hasa kimatangazo Adidas wamefurahi kwa mengi na FIFA!. Pengine hata mchezaji Ghana au Algeria alitakiwa kupata ila anatizamwa Star Mfano FIFA wameshindwa kuumiza kichwa Young Player kapewa Pogba japo nampenda dogo na namuona mkali ila Pogba hakutakiwa kupewa Award kuna Players Colombia walikuwa wapate.
 
Attachments

  • 1405290208066.jpg
    1405290208066.jpg
    15.1 KB · Views: 113
  • 1405290225028.jpg
    1405290225028.jpg
    42.1 KB · Views: 106
  • 1405290245623.jpg
    1405290245623.jpg
    10.7 KB · Views: 112
Back
Top Bottom