Poapoa mkuu usiogope
Unamaanisha nini kusema Dinho hakusavaivi Ulaya? Na unamaanisha nini kusema hakuwa effective?
Chifu, unamuongelea Ronaldinho Gaucho ama?
hahaha big boys never loose
Pamoja sana .... #TeamGermany !
Leo kawaokoa sana wajerumani,aliokoa goal la wazi kabisa.Jeremy boateng angekuwa mzungu angevunja rekodi ya kununuliwa na timu ingine
Nyie Blatter ndo mnaona anaharibu leo?
Na anagombea tena urais hivyo..
Labda niwajulishe tu nusu ya wachezaji wanleo kochawao ni pap gudiola
Nipe mwelekeo
Pamoja sana .... #TeamGermany !
Nilitamanikuwa wote kushangilia germany
oyoooo!!! leo birthday yangu itaenda vyema kabisa saf germany