World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wanachemsha tena SG ndio wakutolewa Hendo anazuia kweli na ndio peke yake alikuwa anajuwa kukaba.
 
Both side make subs: Immobile replaces Balotelli and Wilshere replaces Henderson:
 
Mabadiliko ya Uingereza ni ya uongo!Mtoe Sturrigde ingiza Lambert!!
 
Kitu kinachowaangusha England ni Pressure inayotoka katika media,fans hadi siku England ibebe kombe lolote ndo wataakapoanza kufanya vizuri katika international stage. Wamemwingiza Wilshire kufanya nini, dogo atajiangusha angusha then atavunjika vifito vyake
 
farkhina mwambie mkwe atulie bado dkk 20 tu lol. ..
Hao England nimekuwa nawashabikia bila kutarajia chochote kutoka kwao kwahio hata sina presha

Mie hawa spain na mjerumani siwapendiiii nataka wafungwe tu
 
Last edited by a moderator:
Wanachemsha tena SG ndio wakutolewa Hendo anazuia kweli na ndio peke yake alikuwa anajuwa kukaba.

Hapana mkuu!! SG ndiyo kaishika hii team!Ukimtoa SG hapo ni balaa itakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…