Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ajaalie dua yako mwisho ifikr juu ya bati tu lol
farkhina mwambie mkwe atulie bado dkk 20 tu lol. ..
Hao England nimekuwa nawashabikia bila kutarajia chochote kutoka kwao kwahio hata sina presha
Wanachemsha tena SG ndio wakutolewa Hendo anazuia kweli na ndio peke yake alikuwa anajuwa kukaba.