World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Japo hatujawa na kiwango kizuri leo lakini huenda hizi pointi 3 ni zetu......
 
Nilikuwa najiuliza kwanini England wanacheza mpira kwa spedi,kumbe wanataka wafunge mapema maana wanaogopa kuchoka.
 
Aibu kinoma Andre Pirlo ana miaka 100 anawazungusha kina Wilshire wenye miaka ishirini na kitu kama vile matahira. Huyu Pirlo ana mguu wa kijiko au ?
 
Well done Italy hii Italy ilikuwa inafungika Kabisa
 
Hahaahaahaha lakini mmeshapunguzwa kasi, vijukuu vya Elizabeth. Mkiendelea hivi sijui nahisi mwahitaji kurudi mapema UK.

Hawahitaji kututia cost both ya time na kukaa brazil kuwakuzia uchumi wao buree.....maneno ya wakosaji lol
 
Game over! wanamuita super mario ila Pirlo anastahili kuwa man of the match.

Alikuwa kila sehemu
 
Tumeshinda lakini tumekimbizwa sana,i'm not comfortable with this perfomance at all.
 
Haya muda wa kutishiana maisha na kutukanana radioni, online na magetini umeshafika. Subirini muone #TeamAfrica itakavyofanya mambo yake baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…