World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haya muda wa kutishiana maisha na kutukanana radioni, online na magetini umeshafika. Subirini muone #TeamAfrica itakavyofanya mambo yake baadaye.

Kaka teams za Afrika uanze kuzishangilia mpaka uzione uwanjani na wachezaji wake wote maana hawachelewi kugomea kwa sababu hawajapewa posho!

Nasoma hapa Nigeria wamepanga WASIINGIE uwanjani kucheza na Iran maana fedha yao $ 8 M hadi mchana walikuwa hawajapewa
 
england wamenasa kwenye mtego wa italy na kucheza very slow na matokeo yake wamefungwa! wangecheza game yao ya speed italy wangechemsha!
 
Pazi

Kufungwa kwa leo kumetukosesha zile offer ambazo kesho tungepata: Buy one get two for free
 
Last edited by a moderator:
Team ambayo nina imani nayo toka Afrika wasio kuwa na mambo ya posho ni Algeria tu!Na ndiyo tegemeo langu maana pia wanacheza soka nzuri!!
 
Huku tabata kunawaislam wanapiga kelele misikitin ni balaa..huu sio ustarabu kabisa.:


Kwani wamekuita, siwapo maeneo yao kinakuuma nini.

Isitoshe hapa twashabia soccer mambo ya misikiti na waislamu hatuyataki bana usituharibie mood zetu
 
Oyeeeee......!!

Tunasubiri akina Toure nao wafanye yao hapo baadae.

Watu walikuwa wanaimani na England kimazoea, miye nilistick na Italy nikajua leo ushindi lazima.
Katavi hakuna kulala ni kuunganisha mabehewa tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa tunawaombee hawa waafrika wenzetu watutoe kimasomaso,mm ngoja niwapigie dua sasahivi.
 
Huku tabata kunawaislam wanapiga kelele misikitin ni balaa..huu sio ustarabu kabisa.:
Si bora huko hapa jirani kuna kanisa la kiroho wana mkesha nadhani wanapiga muziki wa injili na kukemea na kulia, halafu pembeni kuna shughuli sijui ndio inaitwa kigodoro muziki unapigwa full kero....
 
Back
Top Bottom