Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Kwa raha zetu, leo nina raha sijapoteza mchezo hata mmoja katika team zote nazoahangilia.
#teamItaly # OYEEEEEEE!!!!
Oyeeeee......!!
Tunasubiri akina Toure nao wafanye yao hapo baadae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa raha zetu, leo nina raha sijapoteza mchezo hata mmoja katika team zote nazoahangilia.
#teamItaly # OYEEEEEEE!!!!
Haya muda wa kutishiana maisha na kutukanana radioni, online na magetini umeshafika. Subirini muone #TeamAfrica itakavyofanya mambo yake baadaye.
Brazil wenyewe hawana muda mrefu kwenye haya mashindano.
. England 5 Uruguay 0 itashinda zote.
Tumeshinda lakini tumekimbizwa sana,i'm not comfortable with this perfomance at all.
Huku tabata kunawaislam wanapiga kelele misikitin ni balaa..huu sio ustarabu kabisa.:
Mkuu natumai kila kitu kipo sawa. dakika 95 zimeshaisha. unasemaje?
I wish.....
Oyeeeee......!!
Tunasubiri akina Toure nao wafanye yao hapo baadae.
Si bora huko hapa jirani kuna kanisa la kiroho wana mkesha nadhani wanapiga muziki wa injili na kukemea na kulia, halafu pembeni kuna shughuli sijui ndio inaitwa kigodoro muziki unapigwa full kero....Huku tabata kunawaislam wanapiga kelele misikitin ni balaa..huu sio ustarabu kabisa.: