Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Juuuuuu kabisaaaaa!!!!!!!
Aibu kinoma Andre Pirlo ana miaka 100 anawazungusha kina Wilshire wenye miaka ishirini na kitu kama vile matahira. Huyu Pirlo ana mguu wa kijiko au ?
Tumeshinda lakini tumekimbizwa sana,i'm not comfortable with this perfomance at all.
Barkley toka aingie sijaona kitu si bora angekuwepo Carrick basi Kama hawamtoi SG akawa SG anasogea mbele?
Mkuu pole sanaWelbeck akicheza kati kwahiyo Rooney au Sturridge mmoja wapo awekwe benchi? Raheem atawakimbiza mno ndio maana ni vizuri aanze "Kumbuka OX yupo fit na yupo bench"
Leo ushindi mzuri sana kwa England
#TeamEngland
Brazil wenyewe hawana muda mrefu kwenye haya mashindano.Wifi mie team brazil sasa nataka hawa mwenye mipira mikubwa afadhali wote watoke wasije tuulia neymar wetu na oscar lol
Tumeshinda lakini tumekimbizwa sana,i'm not comfortable with this perfomance at all.
Wifi mie team brazil sasa nataka hawa mwenye mipira mikubwa afadhali wote watoke wasije tuulia neymar wetu na oscar lol
Mkuu natumai kila kitu kipo sawa. dakika 95 zimeshaisha. unasemaje?Tusiandikie mate wakati wino upo. zimebaki dakika 40 tuu uone nguvu za England
Nilikuwa najiuliza kwanini England wanacheza mpira kwa spedi,kumbe wanataka wafunge mapema maana wanaogopa kuchoka.
#fact england have never scored more than one goal in the world cup
Juventus lol halafu gatusso mbona sijamuona kapotelea wapi
Game over! wanamuita super mario ila Pirlo anastahili kuwa man of the match.
Alikuwa kila sehemu