Hiyo wengine tunaisamehe NBA lini?
Kama HAWAJALIPWA posho hata mechi yenyewe inaweza isiwepo!Hizi teams za Afrika hizi mhhh!
Katavi,Sijui Italy kama itakuja kuwa na wachezaji kama hawa aisee.....
Japan wana miili midogo, hakika wanaasilimia kubwa ya kuharibu mambo ya waafrika.
Speed, control na uwezo wao upo juu, hasa wanacheza kitim-hawategemei umaarufu wa mmoja mmoja.
Hiyo wengine tunaisamehe NBA lini?
Katavi,
Italy ilikuwa ya Word Cup ya Marekani ya kina Baggio, Franco Baresi, Dona Doni, Daniel Masalo, Costa Cuta, Di Baggio, walicheza fainal na Brazil ya kina Romario, Cafu,Bebeto.
Ungemchukia DonDonald mkalale yeye bado nakubali matokeo Mie nishakubali naanza kufikiria timu ya kushangilia sasa ila najipa muda dah sijui Daily Mail walichoandika hawachelewi kuandika Hudgson afukuzwe katumia muda mwingi kukaa kwenye kiti.Huna habar? Usilale tu
Japan wana miili midogo, hakika wanaasilimia kubwa ya kuharibu mambo ya waafrika.
Speed, control na uwezo wao upo juu, hasa wanacheza kitim-hawategemei umaarufu wa mmoja mmoja.
Team za Afrika hizi!Sasa unashindwa kumfunga Mexico unategemea nn?Japan leo akipata hata sare Ivory Coast itanikera sana
Alikuwa mfungaji bora.Kuna mtu hapo alikuwa anaitwa Toto Schillaci
Umeona eeeh na wakishashiba ubwabwa na vinyoka ndo kabisaaa
Katavi,
Italy ilikuwa ya World Cup ya Marekani ya kina Baggio, Franco Baresi, Dona Doni, Daniel Masalo, Costa Cuta, Di Baggio, walicheza fainal na Brazil ya kina Romario, Cafu,Bebeto.
Rahisi kuwafunga ila nao huwa wanamimina goli ile mbaya
. Nitaangalia timu haina hata Mzungu si ubaguzi huo? Hata Italy Ina Black au White wao Drogba? Wacha nitizame #TeamAfrica Kama mtu hashangilii timu zetu za Kizaramo apigwe life ban.
Upo timu gani kaka?Ndio ile ilikuwa nzuri sana japo ilipoteza katika fainali kwa mikwaju ya penati....
Ratiba ya leo kwa kweli haikuwa nzuri.....
Ku8a ya Moto hakuchukuliwa timu ya Japan?Tusubiri lakini nahisi balaa huko mbele.
Uchida, Kagawa, nagatomo, Honda...... Sijui Suzuki atakuwepo au kastaafu.