World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama HAWAJALIPWA posho hata mechi yenyewe inaweza isiwepo!Hizi teams za Afrika hizi mhhh!

Walimaliziwa posho yao mkuu, kwahiyo tuwaombee watuokoe kwa kuanza. Baada ya kumaliziwa posho zao ndio wakakubali kupanda ndege kwenda Brazil.
 
Sijui Italy kama itakuja kuwa na wachezaji kama hawa aisee.....
Katavi,

Italy ilikuwa ya World Cup ya Marekani ya kina Baggio, Franco Baresi, Dona Doni, Daniel Masalo, Costa Cuta, Di Baggio, walicheza fainal na Brazil ya kina Romario, Cafu,Bebeto.
 
Japan wana miili midogo, hakika wanaasilimia kubwa ya kuharibu mambo ya waafrika.

Speed, control na uwezo wao upo juu, hasa wanacheza kitim-hawategemei umaarufu wa mmoja mmoja.

Umeona eeeh na wakishashiba ubwabwa na vinyoka ndo kabisaaa
 
Watu walikuwa wanaimani na England kimazoea, miye nilistick na Italy nikajua leo ushindi lazima.
Katavi hakuna kulala ni kuunganisha mabehewa tu.
Ratiba ya leo kwa kweli haikuwa nzuri.....
 
Last edited by a moderator:
BqIT6i8CAAAMNUj.jpg

Yaani analia kwasababu anafahamu safari imeshawadia yakurudi England - Sures lazima awachinjie mbali hataka

Ni kwa kudaka au kung'ata meno lazima awaadhibu.
 
Katavi,

Italy ilikuwa ya Word Cup ya Marekani ya kina Baggio, Franco Baresi, Dona Doni, Daniel Masalo, Costa Cuta, Di Baggio, walicheza fainal na Brazil ya kina Romario, Cafu,Bebeto.

Kuna mtu hapo alikuwa anaitwa Toto Schillaci
 
Huna habar? Usilale tu
Ungemchukia DonDonald mkalale yeye bado nakubali matokeo Mie nishakubali naanza kufikiria timu ya kushangilia sasa ila najipa muda dah sijui Daily Mail walichoandika hawachelewi kuandika Hudgson afukuzwe katumia muda mwingi kukaa kwenye kiti.
 
Japan wana miili midogo, hakika wanaasilimia kubwa ya kuharibu mambo ya waafrika.

Speed, control na uwezo wao upo juu, hasa wanacheza kitim-hawategemei umaarufu wa mmoja mmoja.

Rahisi kuwafunga ila nao huwa wanamimina goli ile mbaya
 
Team za Afrika hizi!Sasa unashindwa kumfunga Mexico unategemea nn?Japan leo akipata hata sare Ivory Coast itanikera sana

Sijui kwanini ila sina imani na hizi timu za Africa, zinaweza/inaweza kuingia round inayofuata ila sioni kama kuna timu itafika robo fainali
 
Katavi,

Italy ilikuwa ya World Cup ya Marekani ya kina Baggio, Franco Baresi, Dona Doni, Daniel Masalo, Costa Cuta, Di Baggio, walicheza fainal na Brazil ya kina Romario, Cafu,Bebeto.

Ndio ile ilikuwa nzuri sana japo ilipoteza katika fainali kwa mikwaju ya penati....
 
Back
Top Bottom