nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Tehtehteh mnatamani aondoke Suarez haondoki msimu huu ila unaokuja wa EPL asilimia 100 anaondoka naona Arsenal wanataka ile mashine ya Swiss right back jamaa mkali ila juve sioni kumtoa Argentina vipi Tevez wamemtema wamechukua Santos Striker?.Suarez atamaliza uchungu wa msimu wa kufungiwa mechi nane kwa England afu akirudi Epl ataweka transfer applications na kuhamia La liga
Tunakesha pamoja bora, natabiri Ivory Coast 2 - 1.
Katika World cup zote huwa nipo na Italy.Upo timu gani kaka?
Mie Ivory Coast watashinda 3-1 au 2-0
Mke Mzuri sana wewe haya Rubaman ulikuwa unajuwa Kama Hudgson wapili kupewa pesa za bure? Sven ndio alijuwa kula pesa.Hapana si kocha wa England Ndibalema, kocha anayelipwa zaidi ya wote kwenye WC ni Fabio Capello wa Russia. England yeye wa pili.
Japani wanapigwa 4-0.
Usibishe.
Tunakesha pamoja bora, natabiri Ivory Coast 2 - 1.
Hahahahaah,,,,,,,hawa niliwasapoti tu ile juzi lakini wakaniangusha.Katavi yeye ni #TeamSpain
Hapa ushindi lazimaMudawetu sasa watu weusi. Mtu mweusi piga keleleeeeeeeeeh
Mke Mzuri sana wewe haya Rubaman ulikuwa unajuwa Kama Hudgson wapili kupewa pesa za bure? Sven ndio alijuwa kula pesa.
Wifi nimekuwahi lol
Hapa ushindi lazima