World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Suarez atamaliza uchungu wa msimu wa kufungiwa mechi nane kwa England afu akirudi Epl ataweka transfer applications na kuhamia La liga
Tehtehteh mnatamani aondoke Suarez haondoki msimu huu ila unaokuja wa EPL asilimia 100 anaondoka naona Arsenal wanataka ile mashine ya Swiss right back jamaa mkali ila juve sioni kumtoa Argentina vipi Tevez wamemtema wamechukua Santos Striker?.
 
Alberto Zacherone achana nae kabisa huyu mtu katikati ya dimba enzi zake!!
 
Hapana si kocha wa England Ndibalema, kocha anayelipwa zaidi ya wote kwenye WC ni Fabio Capello wa Russia. England yeye wa pili.
Mke Mzuri sana wewe haya Rubaman ulikuwa unajuwa Kama Hudgson wapili kupewa pesa za bure? Sven ndio alijuwa kula pesa.
 
Yaani hapa najikaza tu Ivory Coast naipenda na kuna watu humo kama Drogba ndiye alinifanya niipende Chelsea kipindi hikoooo yuko. Pia Japanese nawapenda sana sana mmmh. Acha nisuport waafrika wenzangu.
 
Mudawetu sasa watu weusi. Mtu mweusi piga keleleeeeeeeeeh
 
Eboue hata HAJAITWA team hii lol!Kolo Toure naye hayumo kikosi cha kwanza the same as Drogba
 
Mke Mzuri sana wewe haya Rubaman ulikuwa unajuwa Kama Hudgson wapili kupewa pesa za bure? Sven ndio alijuwa kula pesa.

nilikuwa sijui itabidi nichukuwe tuition toka kwa bantu lady
 
Back
Top Bottom