World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bora hata ukiweka Taifa Stars kuliko hawa wala Cocoa.
Hehehehe he Comment ya kibaguzi tehtehteh haya tena Bony bado drogba na Bony tena utabiri wangu wa 3-1 utimie a sheikh Yahya au Yule Pastor wa Zimbabwe hehe africa inamambo wenzao wanatabirisha Wanyama lol unaona wala Cocoa Drogba kuingia wamemuogopa Kaka mkuu wa shule za msingi.
 
Naona Serge Aurier ana cross nzuri kuliko Sagna. Lakini Sagna bado ni beki mzuri kuliko Aurier kwa muono wangu
 
Kukesha kwangu kuna faida na utabiri wetu mimi na farkhina umeenda sawasawa labda waongeze. Am happy now
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…