Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Drogba IN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha mi sijamuelewa kabisa
Mpendwa balaa inaweza tokea madhabahuni, badala ya kutoa sadaka najikuta usingizini na kupinduka sakafuni
watu wakaanza kukemea mapepo hewa, kumbe hawajui nimekesha kwenye screen.
Tatizo kubwa kwa Ivory cost ni solomon kalou, anakosa mengi na ya wazi kisha anabahatisha.
Foward wa namna hiyo ni mzigo kwa timu, unahitaji watu kama honda, quick, accurate na specific.
hatuna watu wa aina hiyo, wakitokea ni akina balotel, thiery henry, zidane wanahamia uraia wa ughaibuni.
Hawa Ivory Coast wachezaji wao karibia wote kama sio wote wanacheza Ulaya halafu wana namba kwenye timu zao
Angalia wanavyocheza hapa wakiwa wamezungukana wenyewe kwa wenyewe
Mimi ntaenda kigumu,napiga kahawa ya nguvu. Dhamiri inanishitaki nisipoenda.