World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mie sijui Kama Mie peke yangu au ndio Hivyo Mie naona wachezaji wale wa ufaransa wa kiafrica Wenye Uraia wa France wanaocheza France ni wakali Kama kina Zidane kina Viera ila Pengine wangechezea hizi timu zao za Africa yangekuwa butuabutua tu.
 
Mpendwa balaa inaweza tokea madhabahuni, badala ya kutoa sadaka najikuta usingizini na kupinduka sakafuni

watu wakaanza kukemea mapepo hewa, kumbe hawajui nimekesha kwenye screen.

Mimi ntaenda kigumu,napiga kahawa ya nguvu. Dhamiri inanishitaki nisipoenda.
 
Tatizo kubwa kwa Ivory cost ni solomon kalou, anakosa mengi na ya wazi kisha anabahatisha.

Foward wa namna hiyo ni mzigo kwa timu, unahitaji watu kama honda, quick, accurate na specific.

hatuna watu wa aina hiyo, wakitokea ni akina balotel, thiery henry, zidane wanahamia uraia wa ughaibuni.

Tatizo la timu zetu; lack of creativity
 
Kalou anapiga mashuti ya ajabu,anacheza utumbo tu
 
Hawa Ivory Coast wachezaji wao karibia wote kama sio wote wanacheza Ulaya halafu wana namba kwenye timu zao

Angalia wanavyocheza hapa wakiwa wamezungukana wenyewe kwa wenyewe

Bora hata ukiweka Taifa Stars kuliko hawa wala Cocoa.
 
Lady sidhani kama Drogba anaweza cheza dakika 90 World Cup,kumbuka he is very old now
 
Gooooooal,thanks God!
Drogba kaingia mabadiliko makubwa
 
Back
Top Bottom