mkuu ningekuwa naufutio ile ya 2-0 ningetowa sifuri kuweka 1 itakuwa cheat ila wakipata 3-1 nimepata ya tatu kwa moja mpaka sasa nimefeli.Nimeona my mkwe,dah ila mda bado mwingi sana
Drogba kabadilisha sana mpira
mkuu ningekuwa naufutio ile ya 2-0 ningetowa sifuri kuweka 1 itakuwa cheat ila wakipata 3-1 nimepata ya tatu kwa moja mpaka sasa nimefeli.
Ruttashobolwa mtani ukuje hapa, umeona tumeshinda nawewe umepotea, nilijua tu utayeyuka wewe #teamJapan . Pole sana mmeshabugizwa mbili za faster.
Mpira haujaisha tu
Hii Game tumeweza kukosoa Ivory Coast je Japan makosa Yao ni nini?
Morning mamii, bado haujaisha ila zimebaki dakika chache tu.
Tumebaki wachache sana mkesha huu walevi madhubuti wa soka.
Nafatilia hapa hapa pressure ya kufungwa mbaya
Hii Game tumeweza kukosoa Ivory Coast je Japan makosa Yao ni nini?