World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimeona my mkwe,dah ila mda bado mwingi sana
mkuu ningekuwa naufutio ile ya 2-0 ningetowa sifuri kuweka 1 itakuwa cheat ila wakipata 3-1 nimepata ya tatu kwa moja mpaka sasa nimefeli.
 
mkuu ningekuwa naufutio ile ya 2-0 ningetowa sifuri kuweka 1 itakuwa cheat ila wakipata 3-1 nimepata ya tatu kwa moja mpaka sasa nimefeli.

Mkuu bado mda upo tuombe tu ushindi huu udumu au tuongeze magoli
 
Hii Game tumeweza kukosoa Ivory Coast je Japan makosa Yao ni nini?
 
England kaondoka Lampard Chelsea wamesema ndio Best of the Best wa Chelsea Mie naona katika historia ya Chelsea ni Drogba.
 
Kulaleki hivi ukilipia pesa zako toka kwenu unakuja kuangalia mechi boring kama hii ukirudi home utadai uliwahi kuhudhuria kombe la dunia Live kweli?
 
Hii Game tumeweza kukosoa Ivory Coast je Japan makosa Yao ni nini?

1. Miili yao midogo kiasi kwamba ni ahueni wakibanana bega kwa bega na Ivory cost

2. Walifanya kosa kwa kuanza kujilinda-kupaki basi
 
Back
Top Bottom