Hii Game tumeweza kukosoa Ivory Coast je Japan makosa Yao ni nini?
Tumebaki wachache sana mkesha huu walevi madhubuti wa soka.
Nafatilia hapa hapa pressure ya kufungwa mbaya
adolay tumekesha walevi wa soka kweli. Ila bora tumeshinda, tumekesha kwa haki.
Tiote huwa anacheza ngangari Newcastle hapa yupo kama garasa fulani hivi.
Kwahiyo ukifungwa unaona heri ujifiche hehehhe
Hawana makosa maana tunanunua magari used toka kwao so tunaogopa ku comment
Mkuu Tiote katulia sana pale kati,hapigi pigi hovyo
Ongezeni la 3 jamani ! Furaha iongezeke jamani