Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Nawashukuru wakuu,toka game ya kwanza tulikuwa wote ila mimi nilikuwa live JF.Tulale sasa kwa wale wa kulala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashukuru wakuu,toka game ya kwanza tulikuwa wote ila mimi nilikuwa live JF.Tulale sasa kwa wale wa kulala.
Naenda best nikamshuru Mungu kwaajili ya Ivory coast,mwenzangu karoho kananistaki nisipoenda.
Jamani mnaweza badilisha station zenu kuelekea bbc, star tv, sky news, ITV tupate taarifa za habari asubuhi ya leo
maana sasa inakaribia kabisa kufika 0600hrs EAT
Kwa wale wakuwahi church pitishen maji
swali kwa everlenk , rubaman , Kigogo, Pazi , Malafyale , [MENTION]Viol [/MENTION] , Bantu lady , Mr Econ na The secretary
Mtapiga mswaki leo au mnauganisha????
DonDonald nilikwambia kaweke bet England watafungwa ungekuwa umeshajizolea pesa. Tatizo mwoga ulidhani watakufanya kama yule Mturkish vs Beckham sio
Usiku mwema,tukutane kwenye mechi za kesho
Jamani mnaweza badilisha station zenu kuelekea bbc, star tv, sky news, ITV tupate taarifa za habari asubuhi ya leo
maana sasa inakaribia kabisa kufika 0600hrs EAT
Kwa wale wakuwahi church pitishen maji
swali kwa everlenk , rubaman , Kigogo, Pazi , Malafyale , [MENTION]Viol [/MENTION] , Bantu lady , Mr Econ na The secretary
Mtapiga mswaki leo au mnauganisha????
Naona Bantu lady umefurahi sana.
Mkuu adolay nilipiga mswaki saa sita usiku mpaka tena saa sita
Mkuu hiyo nijana leo sasa... umeniuwa mbavu japo nipo alone mbavu sio zangu.
Nimeunganisha napata mkate na gahawa nikiangalia ITV taarifa ya habari
Asante mkuu africa tumefutwa machozi kidogo!!
At least kina drogba wametutoa kimasomaso. Haya ngoja tuone mfaransa leo atasemaje