OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Njoo tupumzike....
Mechi ya Ghana ni kesho saa saba usiku.Mkuu Ritz mechi ya Ghana sa ngapi mkuu wangu
Kumbe ndio timu yako hii. Sidhani kama nitawaona hawa maana kesho kibaruani nisije nikaharibu maana hizi siku 2 sijalala kabisa.Njoo tupumzike....
Kumbe ndio timu yako hii. Sidhani kama nitawaona hawa maana kesho kibaruani nisije nikaharibu maana hizi siku 2 sijalala kabisa.
Mechi ya Ghana ni kesho saa saba usiku.
Mechi ya Ghana ni kesho saa saba usiku.
Mimi siyo shabiki wa England, lakini naweza kumtetea Rooney kwa wale wanaomponda, haswa wanazi wa Loserfools.
Rooney kachezeshwa out of position, unategemea nini! Steve G kachezeshwa kwenye nafasi yale, lakini hakuleta impact kubwa kwenye timu. Cha ajabu, hakuna anayemponda Steve G!!
Hakuna ubishi, Rooney ndiye mchezaji star kuliko wote wa England; timu inafaa ijengwe kupitia kwake, kama Italia walivyofanya kupitia Pirlo. Rooney anapaswa akipige namba 10! Anafaa awe ndiye bosi pale; freekick anapaswa apige yeye, lakini hakupewa hayo.
Unategemea nini kama ukimchezesha kama namba 11 au 7! Pamoja na Raheem kukipiga vizuri jana, namba 10 alipaswa kukaa Rooney, Raheem angekipiga namba 11 ama 7. Rooney pia hakupewa uhuru wa kucheza anavyotaka, ndiyo maana analaumiwa kwa kushindwa kumsaidia Baines! Duh!
Anyway, ya England niwaachie #teamEngland
Mimi ni #teamBrasil #teamPortugal na #teamGhana
Pole sana Mpwa na ahsante kwa pongezi, hao so called 3 lions wakikutana na Buluda huwa wanageuka na kuwa three kittens.
Pirlo kawapa somo jingine jana.
Ng'ombe hata akonde vipi hawezi kufanana na mbuzi, najua mtarudi na hasira zote kama mbogo aliyejeruhiwa.
Hiyo team ya hapo kwenye mazalia ya mbu najitahidi kuisahau kidogo mpaka watakavyojirekebisha.
M
lebeneke linaendeleaAsubuhi hii si usiku tena!!!
super eagle ni Nigeria,,,,,,,,,Ghana ni Black Stars.
mkuu ghana ni black stars na super eagles ni nigeria..
Hamjambo humu, watu wamechoka hoi WC si mchezo.
ahsante mkuu,,,,nilichanganya mambo kidogo
Tanesco jana wamenibore kukata umeme mechi ya england na italy, inaonesha aliyekuwa zamu shabiki wa england maana baada ya goli la pili ndo akazima.