World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Njoo tupumzike....

30ab3a62598ecd850317c934aa7e7_h498_w598_m2-2185896.jpg

Mkuu Ritz mechi ya Ghana sa ngapi mkuu wangu
 
Mwambie muajiri kwamba unaumwa sana kwa siku mbili hujalala kutokana na ugonjwa unaokusumbua ambao bado madaktari wanaufanyia uchunguzi.

Kumbe ndio timu yako hii. Sidhani kama nitawaona hawa maana kesho kibaruani nisije nikaharibu maana hizi siku 2 sijalala kabisa.
 
Mechi ya Ghana ni kesho saa saba usiku.

Saa saba usiku ya Jumanne (17.06.2014), na siyo ya Jumatatu (16.06.2014).

Saa saba usiku ya kesho ni kati ya Argentina dhidi ya Bosnia & Herzegovina.
 
Mimi siyo shabiki wa England, lakini naweza kumtetea Rooney kwa wale wanaomponda, haswa wanazi wa Loserfools.

Rooney kachezeshwa out of position, unategemea nini! Steve G kachezeshwa kwenye nafasi yale, lakini hakuleta impact kubwa kwenye timu. Cha ajabu, hakuna anayemponda Steve G!!

Hakuna ubishi, Rooney ndiye mchezaji star kuliko wote wa England; timu inafaa ijengwe kupitia kwake, kama Italia walivyofanya kupitia Pirlo. Rooney anapaswa akipige namba 10! Anafaa awe ndiye bosi pale; freekick anapaswa apige yeye, lakini hakupewa hayo.

Unategemea nini kama ukimchezesha kama namba 11 au 7! Pamoja na Raheem kukipiga vizuri jana, namba 10 alipaswa kukaa Rooney, Raheem angekipiga namba 11 ama 7. Rooney pia hakupewa uhuru wa kucheza anavyotaka, ndiyo maana analaumiwa kwa kushindwa kumsaidia Baines! Duh!

Anyway, ya England niwaachie #teamEngland

Mimi ni #teamBrasil #teamPortugal na #teamGhana

Lingine ni Rooney ni untouchable hata kama anacheza vibaya.. Rooney hayupo katika form pia yupo under pressure kisaikolojia kuperfom vizuri katika timu ya taifa lakini wanashindwa kumtoa na kuwapa wengine nafasi, wange mu-ease Rooney in kama Sub pressure ingetoka labda angecheza vizuri. World Cup ya pili kama siyo ya tatu kwa Rooney na hajafunga hata goli moja.
 
Pole sana Mpwa na ahsante kwa pongezi, hao so called 3 lions wakikutana na Buluda huwa wanageuka na kuwa three kittens.
Pirlo kawapa somo jingine jana.

Ng'ombe hata akonde vipi hawezi kufanana na mbuzi, najua mtarudi na hasira zote kama mbogo aliyejeruhiwa.

Hiyo team ya hapo kwenye mazalia ya mbu najitahidi kuisahau kidogo mpaka watakavyojirekebisha.

M

heshima kwako mkuu Mourinho. Naona tumeanza vizuri. Salama lakini mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Hamjambo humu, watu wamechoka hoi WC si mchezo.

Tanesco jana wamenibore kukata umeme mechi ya england na italy, inaonesha aliyekuwa zamu shabiki wa england maana baada ya goli la pili ndo akazima.
 
Tanesco jana wamenibore kukata umeme mechi ya england na italy, inaonesha aliyekuwa zamu shabiki wa england maana baada ya goli la pili ndo akazima.

Ah pole sana ulikosa raha yenyewe, maana ilikuwa mechi tamu sana. Wamewaonea maeneo yenu mkuu.
 
Niwarudishe nyuma kidogo wadau.
kwa kiwango kile cha Cote devour, wanaweza wakafika robo fainali kwali?
 
Mimi siyo shabiki wa England, lakini naweza kumtetea Rooney kwa wale wanaomponda, haswa wanazi wa Loserfools.

Rooney kachezeshwa out of position, unategemea nini! Steve G kachezeshwa kwenye nafasi yale, lakini hakuleta impact kubwa kwenye timu. Cha ajabu, hakuna anayemponda Steve G!!

Hakuna ubishi, Rooney ndiye mchezaji star kuliko wote wa England; timu inafaa ijengwe kupitia kwake, kama Italia walivyofanya kupitia Pirlo. Rooney anapaswa akipige namba 10! Anafaa awe ndiye bosi pale; freekick anapaswa apige yeye, lakini hakupewa hayo.

Unategemea nini kama ukimchezesha kama namba 11 au 7! Pamoja na Raheem kukipiga vizuri jana, namba 10 alipaswa kukaa Rooney, Raheem angekipiga namba 11 ama 7. Rooney pia hakupewa uhuru wa kucheza anavyotaka, ndiyo maana analaumiwa kwa kushindwa kumsaidia Baines! Duh!

Anyway, ya England niwaachie #teamEngland

Mimi ni #teamBrasil #teamPortugal na #teamGhana

Hii timu haiishagi lawama kama Stars yetu
 
Back
Top Bottom