World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wapenzi wa Arsenal anzeni kuangalia vifaa vya msimu ujao Wenger atakavyonunua toka home kwao.
 
Hii mechi itakuwa tamu sana, lakini ninawasiwasi inaweza kutoa red card yapili.
 
Mpiga nyimbo za taifa amegoma ..? naona SA walijipanga vizuri zaidi ya hawa wa Brazil
 
daaa naona ufaransa wana hema hapa daaa
 
hawa Honduras wanaweza wakaishangaza dunia kama jana Costa Rica alivyoishangaza dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…