World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

rooster2.jpg


Jogoo la ushindi leo wanafunga si chini ya goli 3

Namuomba huyu jogoo nimchemshe supu
 
Last edited by a moderator:
Yaani hii sayansi ya kiafrika bure kabisa..kwanini wasiungane wataalamu wote this year timu moja ya Africa ibebe ushindi mwaka huu..

Thubutu, wanaweza kuruka uchi na kujipaka mikaa mwilini na kuvaa magozi ya kutisha, mambo yamaana sifuri
 
Back
Top Bottom