wametoka japan hawa
Sio kuamini sana historia...Spain alifanya hivi hivi...uliona kichapo cha juzi
Throw back Sunday
Mimi ndio maana siwaamini Waafrica wenzangu maana wao wana tegemea waganga badala ya kucheza mpira. Sasa angalia Wanavyo pata pressure Ronaldo kapona.
#teamhondurus
Cc Bantu lady , TATIANA Katavi, Mourinho.
Mkuu Ritz mechi ya Ghana sa ngapi mkuu wangu
Wakuu game ishaanza. tuweke pembeni kwanza hizi story, tujadili mtanange. half time tutaendelea na hizo story.
France wanaweza wakashangazwa leo.
Sio kuamini sana historia...Spain alifanya hivi hivi...uliona kichapo cha juzi
Mganga kashindwa kufanya yake kabisa
France wanakalishwa, 2-2
Wakirudi wanalazwa katika Makochi.... Ughaibuni upuuzi mtupu.
Hizi nchi zenye majina makubwa this time zitaaibishwa sana.
Sitakaa nisahau nilikuwa mdogo ila siku hiyo nilisikitika maana nilikuwa team Brazil
Throw back Sunday
Paul Pogba ametulia sana kwenye dimba la kati