World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

duuu huu mpira hatari sana kwa afya ya mtani.
 
wametoka japan hawa

BqL66ohCYAAAWTP.jpg

Wakirudi wanalazwa katika Makochi.... Ughaibuni upuuzi mtupu.
 
Mpira huu una kasi sana, kila timu hapa ina nafasi,,,,,,,,,,
 
Ufaransa wameanza vizuri kombe la dunia hili kuliko makombe mengine yaliyotangulia
 
Back
Top Bottom