masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
hivi WEST WALES ni JAPAN???!!! Nilifikiri ni UNITED KINGDOM......
gemu ili borin loooh
Hiki kiungo cha France ni Noma!!
Kwasababu hakuna wachezaji wenye majina makubwa?
lakini matangazo yao hayana "kuleta kombe la dunia"...View attachment 165101
Kwasababu hakuna wachezaji wenye majina makubwa?
Hawa France vipi,naona wanabeep beep tu,hebu watwange jamani