World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hawa France vipi,naona wanabeep beep tu,hebu watwange jamani
 
A selection of the fans on offer tonight.

BqMbeWfCcAAgAAf.png
 
Pogba anastahili Red hapa... Refa anachemsha kumpa Yellow.
 
Mpira unachezwa wa nguvu sana na wa kasi, umekuwa mtamu kuuangalia. Kila timu inajiamini na kutafuta goli la mapema ndipo hapo nyasi zitakapowaka moto.
 
daaa ufaransa wanatumia nguvu nyigi naona wanataka kupigana hapa
 
hii midfield battle kati ya paul pogba na wilson palacios leo si mchezo
 
Back
Top Bottom