World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

baada ya wilson Palacios kulimwa kadi naona Espinoza ameenda kucheza dimba la kati
 
Kuna timu/nchi siwezi kubet against them "Kama ningekuwa ni mtu wa kubet "

#TeamEngland next game OX atacheza kwahiyo hamna tatizo

Leo nimegundua kuwa Wilshire na Cleverley hawajapishana sana kiwango

Hutaki kubet against England sababu watakujia home kama walivyowafanyia SG na Rooney lol..Wilshere alikuwa anacheza vizuri utotoni, naona kipaji kimedumaa tangu aumie msimu wake wa pili EPL. Afu huwa naona hata kwa Arsenal huwa anakimbia kimbia aking'ara mara moja moja Waingereza (Arsenal Fans hasa) wanamsifu. Lakini amemzidi sana Cleverly.
 
Huyu referee ni mtata, anapotezea kuwapa kadi za njano Farance, lakini chache atakazo wapa honduras zita materials kwenye red. Na hatathubutu kumpa mfransa kadi ya pili ya njano isipokuwa itakula kwa honduras.

Ikimfuatilia Fabuena kisha fanya faulo nyingi mbaya lakini hajapewa kadi yoyote, kama Honduras hawatajiweka vema

refa atawatwanga nyingine kusafisha njia ya france.
 
sitashangaa kipindi cha 2 Honduras wakachomoa na kupata droo au hata wakashinda kabisa
 
Match hii kali sana Refa inabidi awe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…