Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaaaaa Mtani una mzizi?
Benzema katua ktu kabaaaaang
ila refa anatoa kad duuu
Kuna timu/nchi siwezi kubet against them "Kama ningekuwa ni mtu wa kubet "
#TeamEngland next game OX atacheza kwahiyo hamna tatizo
Leo nimegundua kuwa Wilshire na Cleverley hawajapishana sana kiwango
Tatiana...hii sio kwenye jukwaa lileeeeeee la naiti kali!
ndo kazi yake eti...Hahahahaaa...refa hataki masihara kazini
Wifi yangu ni noma aisee...yaani sijui nimfananishe na nani maana hakunaga
ndo kazi yake eti...
Match hii kali sana Refa inabidi awe makini.Huyu referee ni mtata, anapotezea kuwapa kadi za njano Farance, lakini chache atakazo wapa honduras zita materials kwenye red. Na hatathubutu kumpa mfransa kadi ya pili ya njano isipokuwa itakula kwa honduras.
Ikimfuatilia Fabuena kisha fanya faulo nyingi mbaya lakini hajapewa kadi yoyote, kama Honduras hawatajiweka vema
refa atawatwanga nyingine kusafisha njia ya france.
Kila mechi my wii na mtani wangu inawabidi mjiunge namimi tu. Bila hivyo presha zitaendelea kuwasumbua sana.
anaharibu mpira.....ila refa anatoa kad duuu